• PRO
  • 12 Feb 2026

PONGEZI

Uongozi wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) unampongeza Prof. Makenya Abraham Maboko kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na unaahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Tume chini ya uongozi wake. Tunakutakia mafanikio katika majukumu yako mapya.


Source: TCU

Advertisement